Hello
Judy!!! Naitwa Daisy Bomba mimi ni mmoja kati ya wafuatiliaji wa Blog yako “http://ladyjaydee.blogspot.com/” . Napenda kukujulisha kuwa nina blog yangu inaitwa
“Home decoration and cleaning”.
Blog
hii inaonyesha na inazungumzia jinsi ya kutengeneza nyumba yako ili iwe na
muonekano wa kisasa zaidi,pia natoa ushauri wa jinsi
yakutengeneze nyumba na jinsi ya kupangilia rangi ya vitu vyako vya
ndani.
Naamaini
watu wengi wangependa kufahamu jinsi ya kupamba nyumba zao, jinsi ya
kuzisafisha na kuboresha .Hivyo naomba uwafahamishe wapenzi wa blog yako kuwa
kuna hii blog ili waweze kupata design na ideas tofauti tofauti za jinsi
ya kutengeneza nyumba zao kupitia blog yangu.
Nimependa
kutumia blog yako kwa sababu inapendwa na watu wengi na wewe ni mtaalamu wa muda
mrefu.
Natumaini
utanipa ushirikiano
Nakutakia kazi njema.
Nakutakia kazi njema.
6 comments:
Wow nimecheck hiyo blog jamani ni nzuri wadada/wamama mnaopenda mambo ya nyumba hebu chungulieni humo..... Yaani me nadhani Nina ugonjwa wa kupamba nyumba huwa namalizia vijisenti vyangu vyote kuhangaika kubadilisha badilisha muonekano wa bathrooms zangu jikoni na sebuleni. Mama mkwe alinifundishaga ukitaka kujua mwanamke msafi Angalia chooni na jikoni ktk nyumba yake! She was very smart Chagga lady. Apumzike kwa Amani.
mbona copy and paste zaidi. hebu tuonyeshe na kazi ulizokwisha fanya, yaani before and after, siyo hayo macopy and paste.
hiyo blog ni tamu,Anoyms uliyesema amecopy na kupaste ukiingia kwenye iyo blog chek zile za pembeni utaona kitu kimeandikwa HOMEZ DECO ingia uko ndo utaona kz zao yn ni nzuri wanajitaidi.
Thanks mama C your like me kwa kweli.
Thanks mdau wa pili nimekuelewa nitafanya hivyo.
Daisy
I think dada kasema ideas na sio kazi zake so people we need to understand mimi nimefungua na kuelewa what she doing to us.
Watanzania amkosagi la kusema kiwe kibaya au kizuri.
Daisy keep it up good job.
Big up daisy! Kwakuangalia hizo copy n paste ndio tunajifunza jinsi ya kupamba nyumba zetu.
Post a Comment