Jide we noma jana nilikuwa saloon mara kaja mdada akaulizwa nikuchanaje? akajibu "LADY JAYDEE" yule mdada wa saloon hata hajauliza akawa anamchana mi najiuliza LADY JAYDEE nae ana mchano kama WHITNEY?. mana kuna kipind mtu anaenda saloon anakwamnbia nichane "WHITNEY" mara yule dada kumalizwa kuchanwa bwana kama JIDE kwenye "NITAFANYA" we nouma .....Me Luv you.........
Wise Monica Kaaya , tafadhali tuonee huruma sisi wenzio wana Yanga !
Unajua kuanguka kimaisha ama kutokupata ulichotarajia inauma saaana sio mchezo tena Mnyama ametufunga Mabao mengi sana 5 imekuwa kama namba za viatu vile?
Ahhh maumivu makali sana, leo ndio nazinduka na kutoka nje ya chumba changu tokea Jumapili ya tarehe 6 Mei 2012 ilikuwa siku mbaya sana kwa mimi Mwana Yanga kamili !
Baada ya bao la 5 na filimbi kupulizwa ilibidi nielekee kitandani na kujifunika shuka, nikawa nakula ndani na kujisaidia ninajisaidia usiku watu wakiwa wamelala !
Kwa kweli nilipata homa kali kabisa kwa Yanga kufungwa.
Yaani upenzi wa Mpira ni balaa kama vile tuna Hisa za Umiliki Klabuni Yanga?
Lakini inakuwa ni vigumu, Ukiwa na timu mfano sisi wana Yanga tunajihisi kuwa na 'damu' ya kijani badala ya 'nyekundu'!
Unaweza kubadili Imani ya Dini, au Itikadi ya Siasa lakini huwezi kubadili Asili ya Kabila !
Sasa kuondoka Yanga inakuwa ni kama mtu wa Kabila la Mmeru kuhamia Kabila na kuwa Mzaramo kitu isiyowezekana!
Ila please, please, please,,,Monica wewe ni wise kama jina lako ,,,please Hatuwezi hamia Simba,,,umeshachukua Kombe pia umetufunga vibaya kabisa,,,please sherehekea taratibu Kutufunga kwako mabao ma 5 pia kipigo si mchezo tuonee huruma !
MWARABU 'AL AHLY SHANDY' AMEWAKARIBISHA AKAWAPA UBWABWA WA BIRIANI KWA NYAMA YA NGAMIA AKAJAZA MAFUTA KIBAO AKIPIKA!
MWENYEKITI WA TIMU MHE. MBUNGE AMBAYE PIA NDIE RAISI WA MSIMBAZI AMEHARISHA VIBAYA KWA DISHI HILO LA KIARABU MATOKEO YAKE KWA KUZIDIWA AKASHINDWA HATA 'KUFANYA MIPANGO' YAKE INAYOJULIKANA ILI KUIOKOA SIMBA!
Mmetufunga Mabao 5-0 na ninyi mmkekutana na Mwarabu 'akawachapa' nao!
Si bora tungewafunga sisi?,,,kuliko kufungwa na Mwarabu kwa dharau na jeuri yake atawachukulia ni kama 'amewakandamiza' vile!
12 comments:
Naipataje hii tshirt Jamari?
Jide we noma jana nilikuwa saloon mara kaja mdada akaulizwa nikuchanaje? akajibu "LADY JAYDEE" yule mdada wa saloon hata hajauliza akawa anamchana mi najiuliza LADY JAYDEE nae ana mchano kama WHITNEY?. mana kuna kipind mtu anaenda saloon anakwamnbia nichane "WHITNEY" mara yule dada kumalizwa kuchanwa bwana kama JIDE kwenye "NITAFANYA" we nouma .....Me Luv you.........
simba ushindi wa kishindo balaa sikuamini kuwatandika yanga tano bila balaaaaaaaa
Yanga walichezea kichapo cha kishindo cyosiri I'm so happy
Pole dada jide huyo ndo mnyama atak maskhara hata kidogo dah ila 5goals au ile ilikuwa yanga B?????
Jamani hivi Mwape, Asomoah, Berko, Niyonzima, Kiiza, Chuji, Nurdini ...hawakucheza!
Wise Monica Kaaya , tafadhali tuonee huruma sisi wenzio wana Yanga !
Unajua kuanguka kimaisha ama kutokupata ulichotarajia inauma saaana sio mchezo tena Mnyama ametufunga Mabao mengi sana 5 imekuwa kama namba za viatu vile?
Ahhh maumivu makali sana, leo ndio nazinduka na kutoka nje ya chumba changu tokea Jumapili ya tarehe 6 Mei 2012 ilikuwa siku mbaya sana kwa mimi Mwana Yanga kamili !
Baada ya bao la 5 na filimbi kupulizwa ilibidi nielekee kitandani na kujifunika shuka, nikawa nakula ndani na kujisaidia ninajisaidia usiku watu wakiwa wamelala !
Kwa kweli nilipata homa kali kabisa kwa Yanga kufungwa.
Yaani upenzi wa Mpira ni balaa kama vile tuna Hisa za Umiliki Klabuni Yanga?
Mlisha ambiwa apana chezea Simba jamani umeona sasa mpaka mnazimia ila nex time tutawafunga 3 tu msijali kamavipi itabidi muhamie Simba hahahaha
Whaise Monica Kaaya,
Ahsante kwa Mwaliko wako ili tuhamie Msimbazi,,,!
Lakini inakuwa ni vigumu, Ukiwa na timu mfano sisi wana Yanga tunajihisi kuwa na 'damu' ya kijani badala ya 'nyekundu'!
Unaweza kubadili Imani ya Dini, au Itikadi ya Siasa lakini huwezi kubadili Asili ya Kabila !
Sasa kuondoka Yanga inakuwa ni kama mtu wa Kabila la Mmeru kuhamia Kabila na kuwa Mzaramo kitu isiyowezekana!
Ila please, please, please,,,Monica wewe ni wise kama jina lako ,,,please Hatuwezi hamia Simba,,,umeshachukua Kombe pia umetufunga vibaya kabisa,,,please sherehekea taratibu Kutufunga kwako mabao ma 5 pia kipigo si mchezo tuonee huruma !
Yanga DAIMA.
Ninyi hata mtufunge mabao Laki moja hatuwezi kuhamia kuja kwenu!,
Kwanza imeshajulikana mmefanya Fitina na Majungu 'ninyi ndio mabingwa wa fitina' kuchochea vurugu kwetu, pia mmetumia pesa kutufunga.
Ohhh hata kwa kupewa Bilioni kamwe siwezi kuhamia Simba !
JANA YAMEWAKUTA MSIMBAZI!
MWARABU 'AL AHLY SHANDY' AMEWAKARIBISHA AKAWAPA UBWABWA WA BIRIANI KWA NYAMA YA NGAMIA AKAJAZA MAFUTA KIBAO AKIPIKA!
MWENYEKITI WA TIMU MHE. MBUNGE AMBAYE PIA NDIE RAISI WA MSIMBAZI AMEHARISHA VIBAYA KWA DISHI HILO LA KIARABU MATOKEO YAKE KWA KUZIDIWA AKASHINDWA HATA 'KUFANYA MIPANGO' YAKE INAYOJULIKANA ILI KUIOKOA SIMBA!
Mmetufunga Mabao 5-0 na ninyi mmkekutana na Mwarabu 'akawachapa' nao!
Si bora tungewafunga sisi?,,,kuliko kufungwa na Mwarabu kwa dharau na jeuri yake atawachukulia ni kama 'amewakandamiza' vile!
MATOKEO YAKE SIMBA CHALI!
Post a Comment