Kama kuna mtu nimemshahau naomba kukumbushwa
Ila haya ni majina ya wale walio comfirm kuwepo
Kama ulikuwa huja comfirm na ungependa kuwepo
Pls e-mail me kabla ya jumatano judyjaydee@yahoo.com
1. Anna Lusinde
2. Ester Ulaya
3. Monica Kaaya
4. Leon Lee
5. Happy Happy
6. Wanty
7. Sab
8. Faraji "Mzee wa Zuberi"
9. Pretty Dacha
10. Mhumbira Mellisa
11. Anna Kasunga
12. Jackline Ngongoseke
13. Margareth Musa "SIS"
Stella Ndowo tulikuwa nae kwenye shughuli iliopita
Ila kwa bahati mbaya amepata udhuru hataweza kufika.
Kuna watu kama
Cute Smile, Maggie,Imma na GK sijapata comfirmation zao, Kwahiyo bado sina uhakika kama watahudhuria ama la. Na kama kuna mwingine yoyote nimepitiwa anishtue
Mpaka sasa nina idadi ya watu 13 walio comfirm na wageni 3wapya ambao sijapatiwa majina yao
Wataambatana na baadhi ya wenyeji waliotajwa hapo juu
Kwahiyo jumla ya walio comfirm ni 16 tu
Shughuli itaanza saa 1:00 jioni mpaka saa 3:00 usiku
Dress code ni FULL WHITE
Venue ni: NYUMBANI LOUNGE
9 comments:
tuwakilisheni vyema wana familia. nawamisi na nawapenda wote. mungu akipenda ipo siku tutajumuika pia :)
Cally mi ndo ntakunywa wine yako lol:)tutafurahi ckunawewe ukijumuika tuombe Mungu one day yes
i wish na mm ningekuwepo jaman,this distance is killing me,really!
lov u dada jide!!!
aaah La Familia day
I don't wanna miss again!!
waoh, i wish ningekuwepo jaman ntawamiss kweli ila nawatakia kila la kheri ktk shughuli hyo fupi, big up Jide!
mama nimeshatuma email,natumai umeiona. Monica vp yale mapicha a siku ile kwa da Ester? nilikuwa nataka unitumie kwenye email yangu nimepewa namba yako napiga haikubali
Manka, wifi Jide, mie nipo mbali kidogo sitaweza kujumuika nanyi, ila kiroho tupo pamoja! Nitavaa full white siku hiyo, nipate wine niipendayo. Cha muhimu tu-shee picha kadiri tutakavyoweza, kwani sasa sisi ni ndugu! Wasalaam wenu. Ald, number 23 kwenye list ya watu 100.....
Jamani tena kwa mara nyingine nimeikosa hii siku, aaagh majukumu haya jamani. Ila sio tatizo najua nitakuwepo siku moja. Nawatakia mjumuiko mzuri.
Ntakutumia no yangu mmpya lol kwa cute unitumie email yako badae usiwaze mamy@ GK
Post a Comment